sw_tn/act/24/26.md

21 lines
493 B
Markdown

# Paulo angempa fedha
Feliki alikuwa na matumaini Paul atatoa rushwa ili amwachie huru.
# hivyo mara nyingi alimwagizia na kuongea naye
"hivyo Feliki mara nyingi alimwagizia Paulo aletwe azungumza naye"
# Porkio Festo
Huyu alikua Gavana mpya wa Rumi aliyechukua nafasi ya Feliki.
# alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi
Hapa "Wayahudi" inamaanisha viongozi wa Wayahudi. "alitaka viongozi wa Wayahudi wampende"
# alimwacha Paulo aendelee kuwa chini ya ulinzi
"alimwacha Paulo gerezani"