# Paulo angempa fedha Feliki alikuwa na matumaini Paul atatoa rushwa ili amwachie huru. # hivyo mara nyingi alimwagizia na kuongea naye "hivyo Feliki mara nyingi alimwagizia Paulo aletwe azungumza naye" # Porkio Festo Huyu alikua Gavana mpya wa Rumi aliyechukua nafasi ya Feliki. # alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi Hapa "Wayahudi" inamaanisha viongozi wa Wayahudi. "alitaka viongozi wa Wayahudi wampende" # alimwacha Paulo aendelee kuwa chini ya ulinzi "alimwacha Paulo gerezani"