sw_tn/act/23/intro.md

1.4 KiB

Matendo 23 Maelezo kwa Jumla

Muundo na Mpangilio

Tafsiri zingine zinanukuu kutoka Agano la Kale kwenye kulia kwa ukurasa kuliko maandiko yote kwa jumla. ULB hufanya hivi kupitia kilichonukuliwa katika 23:5

Dhana maalum katika sura hii

Ufufuko wa wafu

Wafarisayo waliamini kwamba baada ya watu kufa, wangefufuka tena na Mungu awazawadie ama awaadhibu. Wasadukayo waliamini kwamba pindi watu wanapokufa,hawangefufuka. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/other/raise and rc://en/tw/dict/bible/other/reward)

"Waliita laana"

Wayahudi wengine waliahidi Mungu kutokula ama kunywa mpaka Paulo auliwe na wakamuomba Mungu awaadhibu kama hawangetekeleza ahadi yao.

Uraia wa Urumi

Warumi walidhani Kwmaba ni Warumi pekee yao waliostahili kuhudumiwa kwa haki. Wangewatenda watakavyo wale ambao hawakuwa raia wa Urumi lakini kwa Warumi waliwatendea kufuata sheria. Watu wamojf walizaliwa raia wa Roma na wengine wakalipa pesa serikali ya Warumi ili wawe raia. "Kiranja Mkuu" angeadhibiwa kwa kuwatendea raia wa Urumi sawa wale wasiokuwa raia.

Mifano ya usemi muhimu katika sura hii

Chokaa

Hii ni mfano ya kawaida katika Maandiko matakatifu inayoonyesha mtu kuwa mzuri au kitu kuwa kizuri na safi ama mwenye haki lakini yule mtu ni mwovu ama amejinajisi ama si wa haki.

<< | >>