sw_tn/act/23/04.md

9 lines
292 B
Markdown

# Je, hii ni jinsi unavyo mtukana kuhani mkuu wa Mungu?
wanaume walitumia swali hili kumkemea Paul kwa nini alisema. "Usimtusi Kuhani Mkuu wa Mungu!
# Kwa maana imeandikwa
Paul ananukuu mambo ambayo Musa aliandika katika sheria. Hii inaweza kuwa: "Kwa maana Musa aliandika katika sheria"