sw_tn/act/21/32.md

29 lines
603 B
Markdown

# aliukimbilia umati chini
Kutoka ngome, kuna ngazi kwenda chini katika mahakama.
# mkuu wa kikosi
afisa wa kikosi cha kijeshi cha Rumi au kiongozi wa askari wapatao 600
# alimkamata Paulo
"Akamshika Paulo" au "Paulo alishikiriwa"
# akaamuru afungwe minyororo
Aliwaagiza askari wake kumkamata na kumfunga.
# kwa minyororo miwili
Hii inamaanisha kuwa Paulo alifungwa na maaskari wawili kila mmoja upande wake mmoja.
# Akamuuliza yeye ni nani na amefanya nini.
Alimwuliza kuwa yeye ni nani?, Amefanya nini?
# Akamuuliza yeye ni nani
Mkuu wa ulinzi anazungumza na umati, hazungumzi na Paulo.