sw_tn/act/21/01.md

33 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Mwandishi Luka, Paulo na washirika wake wanaendelea na safari yao.
# Taarifa ya jumla
Paulo anatumia kiwakilishi cha jina kwa wingi akijitambulisha yeye, Paulo na wenzao wanaosafiri kwa pamoja.
# tukafika moja kwa moja kwenye mji wa Kosi,
"tulikwenda moja kwa moja kwenye mji wa kosi" au "tulikwenda moja kwa moja kwenye mji wa kosi bila kupitia sehemu nyingine"
# Mji wa Kosi
Kosi ni kisiwa cha pwani ya Ugiriki pwani kwa sasa ni Uturuki mkoa wa kusini mwa Aegean ya bahari.
# Mji wa Rhodes
Rhodes ni kisiwa cha pwani ya Ugiriki kwa sasa ni Uturuki kusini mwa bahari ya Aegeani na kosi pia kaskazini ya Krete
# Mji wa Patara
Patara ni mji upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Bahari ya Aegean kwa sasa ni Uturuki kuelekea bahari ya Mediterraneani.
# Tulipopata meli inayovuka kwenda Foinike
Hapa "Meri kuvuka kupitia" linamaanisha kuwa ni wale watumishi wa meri ambao wangesafiri pamoja na meri.
# Meri kuvuka kupitia
Hapa hakumaanishi meri ilikuwa inavuka wakati huo, bali ingevuka baadaye.