# Sentensi unganishi Mwandishi Luka, Paulo na washirika wake wanaendelea na safari yao. # Taarifa ya jumla Paulo anatumia kiwakilishi cha jina kwa wingi akijitambulisha yeye, Paulo na wenzao wanaosafiri kwa pamoja. # tukafika moja kwa moja kwenye mji wa Kosi, "tulikwenda moja kwa moja kwenye mji wa kosi" au "tulikwenda moja kwa moja kwenye mji wa kosi bila kupitia sehemu nyingine" # Mji wa Kosi Kosi ni kisiwa cha pwani ya Ugiriki pwani kwa sasa ni Uturuki mkoa wa kusini mwa Aegean ya bahari. # Mji wa Rhodes Rhodes ni kisiwa cha pwani ya Ugiriki kwa sasa ni Uturuki kusini mwa bahari ya Aegeani na kosi pia kaskazini ya Krete # Mji wa Patara Patara ni mji upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Bahari ya Aegean kwa sasa ni Uturuki kuelekea bahari ya Mediterraneani. # Tulipopata meli inayovuka kwenda Foinike Hapa "Meri kuvuka kupitia" linamaanisha kuwa ni wale watumishi wa meri ambao wangesafiri pamoja na meri. # Meri kuvuka kupitia Hapa hakumaanishi meri ilikuwa inavuka wakati huo, bali ingevuka baadaye.