sw_tn/act/20/31.md

37 lines
1.1 KiB
Markdown

# kuwa macho. kumbuka
'kuwa macho na kukumbuka' au 'kuwa macho kama unakumbuka' au 'kuwa macho kwa kukumbuka.'
# Kuwa macho
kuwa macho na tahadhari 'au' kuangalia nje" au "kukaa macho"
# Kumbuka
"Endelea kukumbuka" au "Tahadhari"
# kwa miaka mitatu sikuweza kuacha kuwafundisha... usiku na mchana
Paulo hakufuruliza kuwafundisha kwa miaka mitatu, lakini mara kwa mara katika muda wa miaka mitatu.
# Sikuweza kuacha kuwafundisha
Maana inawezekana ni 1) 'sikuweza kuacha kuwaonya au 2) "sikuweza kuacha kuhamasisha kwa marekebisho."
# kwa machozi
Hapa "machozi" inaelezea kilio cha Paulo kwasababu ya hisia zake kali juu ya vile alivyojihisi wakati akiwaonya hao watu.
# Na sasa mimi nawakabidhi kwa Mungu, na kwa neno la neema yake
Hapa "neno" linasimama juu ya ujumbe. Kwamba namwomba Mungu awalinde na kuwasaidia kuendelea kuuamini ujumbe niliosema nanyi juu ya neema yake.
# ambalo laweza kuwajenga
Imani ya mtu kuwa imara ni mfano wa ukuta uliojengwa na kuzidi kuimarishwa zaidi na zaidi.
# na kuwapa urithi
Hapa pia anazungumzia neno la neema yake Mungu kana kwamba Mungu mwenyewe alikuwa akiwapa urithi watu wake.