forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
783 B
Markdown
21 lines
783 B
Markdown
# nikiwa ninamtii Roho Mtakatifu kuelekea Yerusalemu, nisiyajue mambo ambayo yatanitokea mimi huko,
|
|
|
|
Hapa anaongelea juu ya Roho Mtakatifu akimshawishi Paulo kwenda Yerusalemu kama vile Roho Mtakatifu alikuwa amemfunga mfano wa mtumwa.
|
|
|
|
# Roho Mtakatifu hunishuhudia mimi
|
|
|
|
Roho Mtakatifu amewasilisha maonyo haya kwangu
|
|
|
|
# minyororo na mateso ndivyo vinavyoningojea
|
|
|
|
Mimi nahusika kufungwa jela kwa minyororo na kuteswa katika kifungo.
|
|
|
|
# ili niweze kumaliza mwendo wangu na huduma niliyopokea kutoka kwa Bwana Yesu
|
|
|
|
Paulo anatumia mfano waq mashindano. Ili kukamilisha kazi ambayo Mungu aliiweka kwa ajili ya yake kuifanya
|
|
|
|
# kuishuhudia injili ya neema ya Mungu
|
|
|
|
"kuwaambia watu habari njema kuhusu neema ya Mungu. Hii ndiyo huduma ambayo Paulo alikuwa ameipokea kutoka kwa Yesu.
|
|
|