sw_tn/act/20/13.md

29 lines
701 B
Markdown

# Taarifa unganishi
Paulo na wenzake wakaendelea na safari yao
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia juu ya Luka na wale waliokuwa wakisafiri naye bila Paulo kuwemo kwenye kundi.
# Sisi wenyewe tulikwenda
Neno 'wenyewe' linaongeza mkazo na hutenganisha Luka na wasafiri wenzake Paulo, ambaye hakusafiri kwa mashua
# tulisafiri kwenda Aso
Aso ni mji uliokuwa chini ya mji wa Behram ya sasa katika Uturuki pwani ya bahari ya Aegean.
# yeye mwenyewe alitamani
"yeye mwenyewe" ni kiwakilishi cha jina la Paulo aliyekuwa anatamani
# kwenda kwa njia ya bara
Kusafiri kwa nchi kavu
# kwenda Mitylene
Mitylene ni mji katika siku ya leo Mitilini, Uturuki katika pwani ya bahari ya Aegeana.