sw_tn/act/20/01.md

29 lines
537 B
Markdown

# Taarifa unganishi
Paulo anaondoka Efeso anaendelea safari zake
# baada ya ghasia
"Baada ya ghasia" au "kufuatia ghasia"
# Aliwaaga
"alisema kwaheri."
# aliwatia moyo waumini sana
"Kwa hali ya dhati aliwatia moyo waumini" au "Alisema mambo mengi ya kuwatia moyo waumini"
# Baada ya kuishi miezi mitatu huko
yeye alikaa miezi mitatu huko
# njama iliandaliwa dhidi yake na Wayahudi
"Wayahudi waliandaa njama dhidi yake"
# wakati alipokuwa karibu kusafiri kwa meli kuelekea Syria
alikua tayari kusafiri kwa meli kwenda Syria