# Taarifa unganishi Paulo anaondoka Efeso anaendelea safari zake # baada ya ghasia "Baada ya ghasia" au "kufuatia ghasia" # Aliwaaga "alisema kwaheri." # aliwatia moyo waumini sana "Kwa hali ya dhati aliwatia moyo waumini" au "Alisema mambo mengi ya kuwatia moyo waumini" # Baada ya kuishi miezi mitatu huko yeye alikaa miezi mitatu huko # njama iliandaliwa dhidi yake na Wayahudi "Wayahudi waliandaa njama dhidi yake" # wakati alipokuwa karibu kusafiri kwa meli kuelekea Syria alikua tayari kusafiri kwa meli kwenda Syria