sw_tn/act/19/35.md

25 lines
691 B
Markdown

# Sentensi jumuishi
Karani wa mji anaongea ili kuunyamazisha umati wa watu
# Karani wa Mji
Hii inafafanua juu ya "Karani" au "Mwandishi"
# Je, kuna yeyote ambaye hajui kuwa mji wa Efeso ni hekalu mlinzi wa Diana mkuu na ya sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni
karani aliuliza swali hili kuwahakikishia umati kuwa walikuwa sahihi na kuwatia moyo.
# Nani asiyejua
Karani wa mji anatumia neno "asiye" ili kusisitiza kuwa watu wote wa mji wanajua hili.
# Mlinzi wa hekalu
Watu wa Efeso wanatunza na kulinda hekalu la Atemi
# sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni
Ndani ya hekalu la Diana kulikuwa mfano wa mungu fasheni iliyoanguka kutoka angani, kulikuwa mwamba uliofikiriwa kutoka Zeus