sw_tn/act/19/01.md

25 lines
556 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anasafiri kwenda Efeso
# Taarifa ya jumla
"Nyanda za juu za nchi" lilikuwa ni eneo la Asia ambalo kwa sasa ni Uturuki kaskazini ya Efeso. Paulo alilazimika kusafiri kwa nchi kavu kuzunguka pembezoni mwa bahari ili kuweza kufika Efeso ambao pia ni Uturuki ya sasa.
# Ikawa kwamba
Huu ni mwanzo wa habari mpya.
# Kupita katikati
"Kusafiri kupitia"
# kumpokea Roho Mtakatifu
Hii inamaanisha kuwa na Roho Mtakatifu aliyekuja juu yao.
# Hatukuwahi hata kusikia kuhusu Roho Mtakatifu
Sisi hatukusikia kuhusu Roho Mtakatifu