# Sentensi unganishi Paulo anasafiri kwenda Efeso # Taarifa ya jumla "Nyanda za juu za nchi" lilikuwa ni eneo la Asia ambalo kwa sasa ni Uturuki kaskazini ya Efeso. Paulo alilazimika kusafiri kwa nchi kavu kuzunguka pembezoni mwa bahari ili kuweza kufika Efeso ambao pia ni Uturuki ya sasa. # Ikawa kwamba Huu ni mwanzo wa habari mpya. # Kupita katikati "Kusafiri kupitia" # kumpokea Roho Mtakatifu Hii inamaanisha kuwa na Roho Mtakatifu aliyekuja juu yao. # Hatukuwahi hata kusikia kuhusu Roho Mtakatifu Sisi hatukusikia kuhusu Roho Mtakatifu