sw_tn/act/18/intro.md

705 B

Matendo 18 Maelezo kwa ujumla

Dhana maalum katika sura hii

Ubatizo wa Yohana

Wayahudi wengine walioishi mbali kutoka Yerusalemu na Judea walisikia kumhusu Yohane Mbatizaji na wakafuata mafundisho yake. Walikuwa bado kusikia habari za Yesu. Mmoja wa hao aliitwa Apollo. Alimfuata Yohane Mbatizaji lakini hakufahamu kwamba Maasiya alikuwa aliisha kuja. Yohane aliwabatiza watu kuonyesha ya kwamba walitubu dhambi zao na lakini ubatizo huu ulikuwa tofauti na ubatizo wa Kikristo. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful and rc://en/tw/dict/bible/kt/christ and rc://en/tw/dict/bible/kt/repent)

<< | >>