sw_tn/act/18/14.md

13 lines
262 B
Markdown

# Galio akasema
Galio alikuwa gavana wa Kirumi wa Mkoa.
# sheria zenu
Hayo yalikuwa ni sheria ya Musa na desturi nyingine za kiyahudi wakati wa Paulo
# Mimi sitamani kuwa hakimu kwa habari ya mambo hayo
Mimi nakataa kufanya hukumu kuhusiana na mambo hayo"