sw_tn/act/18/07.md

25 lines
569 B
Markdown

# Kauli ya jumla
maelezo ya fungu hili yanazungumzia habari za Tito Yusta na Krispas
# Tito Yusto...Krispo
Ni majina ya wanaume
# alimwabudu Mungu
Ni mwabudu Mungu wa kimataifa ambaye alimtukuza Mungu na kumfuata, lakini si kwa njia ya kushika sheria za Kiyahudi.
# Kiongozi wa sinagogi
ni mtu wa kawaida ambaye hufadhili na kuhudumia sinagogi, na si lazima awe mwalimu.
# na watu wa nyumbani mwake
"watu walioishi na yeye ikiwa ni pamoja na ndugu na jamaa zake"
# Watu wengi wa Korintho walibatizwa
"Watu wengi wa Korintho ambao siyo Wayahudi" walibatizwa