sw_tn/act/16/16.md

29 lines
643 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii ni hadithi nyingi inayotokea wakati wa kusafiri kwa Paulo. Hii ni tukio la kwanza katika hadithi, ni habari ya mbashiri mdogo.
# msichana mmoja
"kulikuwa na mwanamke mdogo"
# pepo la utambuzi
roho mbaya huongea naye kuhusu habari ya maisha ya watu ya baadaye.
# Alimletea bwana wake faida vyingi kwa kubashiri
hii ni habari ya nyuma kuhusu mchana huyo
# akiwa amekasirishwa na yeye
"alisumbuliwa na yeye" au " alijisikia vibaya kwa kile kitu anachokifanya"
# aligeuka
"Paulo aligeuka nyuma" au " alikwenda kumkabili yule msichana nyuma yake"
# akatoka na kumuacha mara moja
"na pepo akatoka mara moja"