# Sentensi unganishi Hii ni hadithi nyingi inayotokea wakati wa kusafiri kwa Paulo. Hii ni tukio la kwanza katika hadithi, ni habari ya mbashiri mdogo. # msichana mmoja "kulikuwa na mwanamke mdogo" # pepo la utambuzi roho mbaya huongea naye kuhusu habari ya maisha ya watu ya baadaye. # Alimletea bwana wake faida vyingi kwa kubashiri hii ni habari ya nyuma kuhusu mchana huyo # akiwa amekasirishwa na yeye "alisumbuliwa na yeye" au " alijisikia vibaya kwa kile kitu anachokifanya" # aligeuka "Paulo aligeuka nyuma" au " alikwenda kumkabili yule msichana nyuma yake" # akatoka na kumuacha mara moja "na pepo akatoka mara moja"