sw_tn/act/08/18.md

9 lines
260 B
Markdown

# Roho Mtakatifu ametolewa kupitia kuwekewa mikono ya mitume.
"Mitume waliwapa Roho Mtakatifu kwa kuweka mikono yao juu ya watu"
# Kila nitakae mwekea mikono apokee Roho Mtakatifu.
"Kwamba wakati ninaweka mikono yangu juu ya watu, wapokee Roho Mtakatifu"