forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
968 B
Markdown
25 lines
968 B
Markdown
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Mistari ya 49-50, Stefano ananukuu maneno kutoka kwa Nabii Isaya. Katika nukuu, Mungu anaongea kuhusu yeye mwenyewe.
|
|
|
|
# zilizojengwa kwa mikono
|
|
|
|
zilizotengenezwa na watu
|
|
|
|
# Mbinguni ni kiti changu cha enzi ....na duniani ni sehemu ya kuwekea miguu yangu.
|
|
|
|
Nabii analinganisha ukuu wa Mungu na jinsi isivyowezekana kwa mtu sehemu kwa Bwana kupumzika katika nchi tangu dunia ilipokuwa utupu lakini ni sehemu ya Mungu kuwekea miguu tu.
|
|
|
|
# Ni nyumba ya aina gani mnaweza kunijengea?
|
|
|
|
Mungu anauliza swali ili kuonesha namna gani mwanadamu ana mapungufu kufikia uumbaji wake. Huwezi kujenga nyumba ambayo itanitosha mimi!
|
|
|
|
# Wapi sehemu yangu ya kupumzikia
|
|
|
|
Mungu anauliza hili swali kumwonyesha mwanadamu kwamba hawezi kumpatia Mungu mapumziko. "Hakuna sehemu nzuri ya kumtosha Mungu kupumzikia!"
|
|
|
|
# Siyo mikono imefanya haya yote?
|
|
|
|
Mungu anauliza hili swali kuonyesha kwamba mwanadamu hatengenezi chochote. "Mkono wangu umefanya hivi vitu vyote!
|
|
|