sw_tn/act/05/29.md

21 lines
525 B
Markdown

# Petro na mitume wakajibu
Petro alizungumza kwa niaba ya mitume wote kwa maneno yafuatayo.
# kwa kumtundika juu ya mti
Petro anatumia neno "mti" kuonyesha kuwa msalaba ulitengenezwa kutokana na mti. "Kwa kumtundika juu ya msalaba"
# kutoa toba kwa Israeli, na msamaha wa dhambi
Neno "toba" na "msamaha" yanamaanisha kuleta msamaha kwa watu wa Israeli kwa njia ya toba na kisha Mungu kuwasamehe dhambi zao.
# Israeli
Linamaanisha Wayahudi wote.
# kwa wale wanaomtii
"Wote wanaojikabidhi chini ya mamlaka ya Mungu"