sw_tn/act/05/24.md

17 lines
427 B
Markdown

# Walishikwa na butwaa
"walishtushwa" au "walichanganyikiwa"
# Kuhusu wao
"kuhusu maneno waliyokuwa wamesikia" (taarifa kwamba mitume hawakuwa katika gereza)
# litakuwaje jambo hili
Nini kimefanyika hata watu hawa kutoka nje alihali milango imefungwa na walinzi wakiwepo.
# wamesimama hekaluni
Mitume hawakuwa ndani ya hekalu wanamoruhusiwa kiungia makuhani tu, bali walikuwa wamesimama kwenye ukumbi wa nje wa hekalu.