sw_tn/act/05/19.md

17 lines
589 B
Markdown

# Nendeni, mkasimame hekaluni
Mitume walikwenda kusimama hekaluni katika ile sehemu ya wazi, hawakuingia ndani ambamo hawaruhusiwi kuingia ispokuwa kwa makuhani tu.
# maneno yote ya Uzima huu.
Hii inamaanisha ujumbe wa Injili ambao mitume walikuwa wakiutangaza.
# wakati wa kupambazuka
Ilipoanza kuwa nuru, "Ingawa malaika alikuwa amewatoa mitume jela wakati wa usiku, hivyo kulipoanza kupambazuka mitume walikuwa tayari wamefika hekaluni.
# kuwatuma gerezani ili kuwaleta mitume.
Inamaanisha kuhani alituma mmoja wao kwenda gerezani kuwachukua mitume na kuwaleta mbele ya baraza.