sw_tn/act/04/13.md

25 lines
751 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Paulo anaendelea kuzungumzia Wayahudi Viongozi.
# Wakati walipoona ujasiri wa Petro na Yohana
Neno "Ujasiri" linaelezea njia ambayo Petro na Yohana wameitumia kujibu za viongozi Wayahudi.
# wakagundua kwamba walikuwa ni watu wakawaida wasio na elimu
Wayahudi viuongozi walitambua hivi kwasababu ya njia ambayo Petro na Yohana waliinena.
# Walikuwa ni watu wa kawaida, wasio na elimu
Neno "kawaida" na "wasio na Elimu" ni maneno yanayogawana maana moja. Petro na Yohana hawakupata mafunzo ya elimu katika sheria ya kiyahudi
# mtu aliyeponywa
Mtu ambaye alikuwa ameponya na Yesu kupitia Petro na Yohana
# hawakuwa na kitu cha kusema dhidi ya hili.
Hawakuwa na cha kusema dhidi ya Petro na Yohana juu ya kuponywa kwa huyo.