sw_tn/act/03/21.md

33 lines
918 B
Markdown

# Sentensi ungaishi:
Petro anaendelea na hotuba yake kwa Wayahudi waliokuwa wamesimama kwenye eneo la hekalu.
# Maelezo ya Jumla
Katika mistari ya 22-23 Petro ananukuu mambo fulani Musa alisema mapema kuhusu Masihi.
# mbingu lazima zipokee
Ni mmoja ambaye mbingu lazima zimpokee. Petro anazungumza na mbingu kama anaongea na mtu aliyempokea Yesu nyumbani mwake.
# mpaka wakati wa kurejeshwa kwa vitu vyote
"hadi wakati ambao Mungu atarejesha vitu vyote"
# ambavyo Mungu alizungumzia zamani za kale kwa vinywa vya manabii watakatifu
"Mungu aliwaambia watakatifu wake manabii kuzungumzia habari zao"
# manabii watakatifu ambao wamekuwapo tangu zamani za kale
"manabii wake watakatifu ambao waliishi zamani sana"
# atainua nabii
"atateua mmoja kuwa nabii"
# Itatokea kwamba kila mtu ambaye hasikilizi kwa nabii huyo ataangamizwa kabisa
mtu asiyemsikiliza Nabii ambaye Mungu amemtuma atamwangamiza kabisa.