sw_tn/act/02/32.md

17 lines
466 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Neni "sisi" linaelezea wanafunzi na wale wotewaliokuwa mashahidi wa kufufuka kwa Yesu baada ya kifo chake.
# Mungu alimfufua
Neno "alimfufua" Linaelezea kuwa Mungu alimfufua Yesu kutoka kwa wafu.
# akiwa ameinuliwa katika mkono wa kuume wa Mungu
Mungu alimwinia Yesu juu katika mkono wake wa kuume.
# yeye amemimina hii ahadi,
Neno "mimina" lina maana Yesu ambaye ni Mungu amefanya tukio hili litokee la kumtoa Roho Mtakatifu kwa waumini.