sw_tn/act/01/12.md

25 lines
623 B
Markdown

# Ndipo wao wakarudi
"Mitume wakarudi"
# mwendo wa siku ya sabato
Hii inaelezea umbali ambao kutokana na desturi za walimu wa sheria wa kiyahudi, mtu aliruhusiwa kutembea mwendo wa sabato ambao yapata kilomita moja hivi.
# Walipowasiri
"Walipofika mwisho wa safari yao. Mstari wa 12 unasema, "Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni"
# chumba cha juu
"chumba ambacho kipo juu kwenye nyumba"
# Walikuwa wameungana kama mtu mmoja
Kikundi kiliungana na hakikuwa na mgawanyiko au migongano.
# wakiwa na juhudi wakiendelea katika kuomba
Wanafunzi waliomba kwa pamoja kwa kawaida na mara kwa mara.