sw_tn/2ti/03/05.md

29 lines
987 B
Markdown

# kuwa kama wacha Mungu
"Onekana kama wapenda dini au onekana kama wenye haki" au "Onekana kama watu wema"
# Wataikana nguvu yake.
" Inamaana ya kuwa 1) "Wataikataa na wala hawataikubali nguvu ambayo Mungu alitaka kuwapatia" au 2) " Maisha yao hayataonesha udhibitisho wa ki Mungu kama wanavyodai".
# Kutoka kwenye welekeo sahihi
" Kuepuka"
# Watakao ingia kwenye familia
"Wakiingi katika nyumba na kushawishi sana"
# Wanawake wapumbavu
"Wanawake ambao ni wachanga kiroho". Hii inaweza kuwa kwa sababu wanashidwa kutulia au kwa sababu hawana kazi au kwa sababu wamejawa na dhambi".
# Waliojawa na dhaambi.
Maana zake ni 1) " Waliojawa na mizgo ya dhambi" au 2) " wanaotenda dhambi kila mara". Dhana kuu au wazo ni kwamba, hawawezi kuepukana na kutenda dhambi.
# Wanaoongozwa na tamaa za kila aina.
Wanawake hawa hutamani vitu vingi kana kwamba wanaacha kumwabudu Kristo" au " Wanawake hawa wanaacha kumwabudu Kristo na badala yake wanaviendea vitu vingine wavitamanivyo."