# kuwa kama wacha Mungu "Onekana kama wapenda dini au onekana kama wenye haki" au "Onekana kama watu wema" # Wataikana nguvu yake. " Inamaana ya kuwa 1) "Wataikataa na wala hawataikubali nguvu ambayo Mungu alitaka kuwapatia" au 2) " Maisha yao hayataonesha udhibitisho wa ki Mungu kama wanavyodai". # Kutoka kwenye welekeo sahihi " Kuepuka" # Watakao ingia kwenye familia "Wakiingi katika nyumba na kushawishi sana" # Wanawake wapumbavu "Wanawake ambao ni wachanga kiroho". Hii inaweza kuwa kwa sababu wanashidwa kutulia au kwa sababu hawana kazi au kwa sababu wamejawa na dhambi". # Waliojawa na dhaambi. Maana zake ni 1) " Waliojawa na mizgo ya dhambi" au 2) " wanaotenda dhambi kila mara". Dhana kuu au wazo ni kwamba, hawawezi kuepukana na kutenda dhambi. # Wanaoongozwa na tamaa za kila aina. Wanawake hawa hutamani vitu vingi kana kwamba wanaacha kumwabudu Kristo" au " Wanawake hawa wanaacha kumwabudu Kristo na badala yake wanaviendea vitu vingine wavitamanivyo."