sw_tn/2sa/14/21.md

33 lines
713 B
Markdown

# Hivyo mfalme akamwambia Yoabu
Hii inamaana kwamba mfalme alitaka Yoabu aletwe mbele yake ili kwamba aongee naye.
# Basi tazama
Kifungu kimetumika kuonesha usikivu wa mtu kwa kusikiliza kwa makini kinachosemwa baada ya hapo.
# Jambo hili
Hii inarejea kwa anachotaka Yoabu mfalme akifanye.
# Yoabu akainamisha uso wake chini
Yoabu alifanya hivi kwa kumweshimu mfalme na kuonesha shukurani yake.
# mtumishi wako
Hii ni kuonesha heshima kwa mfalme
# Nimepata kibari mbele zako
Kifungu "kuona kibari" kinamaanisha kuthibitishwa na mtu fulani. Kifungu "mbele yako" kinarejea kwa anachokifikiri mfalme.
# Katika hilo mfalme
"kwa sababu mfalme"
# Mfalme ametimiza haja
"Umefanya nilichokuomba kufanya"