sw_tn/2ki/23/24.md

21 lines
478 B
Markdown

# aliwafukuza ... roho
"kuzilazimisha hizo ... roho kuishi" au "kufanya sheria ambayo wale .. roho zilizokuwa ziondoke"
# wale walioongea na wafu au na roho
Maneno yafananayo, "wale wliouawa na wafu na ... wale waliouawa na roho."
# miungu
vitu ambavyo watu huamini kimakosa vyenye nguvu ya ajabu
# ambaye amemgeukia Yahwe
"alijitoa mwenyewe kabisa kwa Yahwe"
# Hapakuwa na mfalme kama Yosia aliyeinuka baada ya yeye
"Na tangu hapo hajawahi kutokea mfalme kama Yosia"