# aliwafukuza ... roho "kuzilazimisha hizo ... roho kuishi" au "kufanya sheria ambayo wale .. roho zilizokuwa ziondoke" # wale walioongea na wafu au na roho Maneno yafananayo, "wale wliouawa na wafu na ... wale waliouawa na roho." # miungu vitu ambavyo watu huamini kimakosa vyenye nguvu ya ajabu # ambaye amemgeukia Yahwe "alijitoa mwenyewe kabisa kwa Yahwe" # Hapakuwa na mfalme kama Yosia aliyeinuka baada ya yeye "Na tangu hapo hajawahi kutokea mfalme kama Yosia"