sw_tn/2ki/18/36.md

17 lines
277 B
Markdown

# Eliakimi ... Shebna ... Joa ... Asafa
Haya ni majina ya wanaume.
# ambaye alikuwa juu ya nyumba ya mfalme
"aliyeisimamia nyumba ya mfalme"
# mtunza kumbu kumbu
"mtunza hadithi"
# kamanda mkuu
ni tafsiri ya Kiebrania; wengine wanaiona hii kama jina la mtu, "Rabshake"