# Eliakimi ... Shebna ... Joa ... Asafa Haya ni majina ya wanaume. # ambaye alikuwa juu ya nyumba ya mfalme "aliyeisimamia nyumba ya mfalme" # mtunza kumbu kumbu "mtunza hadithi" # kamanda mkuu ni tafsiri ya Kiebrania; wengine wanaiona hii kama jina la mtu, "Rabshake"