sw_tn/2ki/15/13.md

21 lines
673 B
Markdown

# katika mwaka wa thelathini na tisa wa Azaria mfalme wa Yuda
mwaka wa tisa wa Azaria mfalme wa Yuda** - Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa thelathini na nane wa utawala wake. "katika mwaka wa 39 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"
# Shalumu ... Yuda
Haya ni majina ya wanaume.
# Menahemu ... Gadi
Haya ni majina ya wanaume wawili.
# alitawala mwezi mmoja pekee katika Samaria
Samaria ni mji ambao aliishi alipokuwa mfalme wa Israeli. "Shalumu aliishi katika Samaria na kutwala juu ya Israeli kwa mda wa mwezi mmoja tu"
# akawa mfalme katika mahali pake
Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake." "kuwa mfalme badala ya Shalumu"