forked from WA-Catalog/sw_tn
673 B
673 B
katika mwaka wa thelathini na tisa wa Azaria mfalme wa Yuda
mwaka wa tisa wa Azaria mfalme wa Yuda** - Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa thelathini na nane wa utawala wake. "katika mwaka wa 39 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"
Shalumu ... Yuda
Haya ni majina ya wanaume.
Menahemu ... Gadi
Haya ni majina ya wanaume wawili.
alitawala mwezi mmoja pekee katika Samaria
Samaria ni mji ambao aliishi alipokuwa mfalme wa Israeli. "Shalumu aliishi katika Samaria na kutwala juu ya Israeli kwa mda wa mwezi mmoja tu"
akawa mfalme katika mahali pake
Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake." "kuwa mfalme badala ya Shalumu"