sw_tn/2ki/14/01.md

29 lines
1.0 KiB
Markdown

# Katika mwaka wa pili wa Yehoashi mwana wa Yehoazi, mfalme wa Israeli
"wakati Yehu mwana wa Yehoazi alipokuwa mfalme wa Israeli takribani miaka miwili"
# Amazia mwana wa Yoashi, mfalme wa Yuda, akaanza kutawla
Amazia mwana wa Yoashi, akawa mfalme wa Yuda"
# Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala
miaka ishirini na tano wakati alipoanza kutawala** - "Alikuwa na umri wa miaka 25 alipokuwa mfalme"
# alitawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu
miaka tisa katika Yerusalemu** - "alikuwa mfalme katika Yerusalemu kwa miaka 29"
# Yehoyadani
hili ni jina la mwanamke
# Alifanya yaliyo sahihi katika uso wa Yahwe, sio kama Daudi baba yake
Hapa "usoni mwa Yahwe" inaurejea uso wake, na uso wake unarejea hukumu yake. "Amazia alifanya mambo mengi yaliyompendeza Yahwe, lakini hakufanya mambo mengi ambayo yalimtukuza Yahwe kama mfalme Daudi aliyokuwa ameyafanya"
# Alifanya kila kitu ambacho Yoashi, baba yake, alifanya
Yoashi alimtii Yahwe na kufanya mambo mazuri. "Alifanya baadhi ya mambo mazuri ambayo baba yake Yoashi aliyafanya"