sw_tn/2ki/14/01.md

1.0 KiB

Katika mwaka wa pili wa Yehoashi mwana wa Yehoazi, mfalme wa Israeli

"wakati Yehu mwana wa Yehoazi alipokuwa mfalme wa Israeli takribani miaka miwili"

Amazia mwana wa Yoashi, mfalme wa Yuda, akaanza kutawla

Amazia mwana wa Yoashi, akawa mfalme wa Yuda"

Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala

miaka ishirini na tano wakati alipoanza kutawala** - "Alikuwa na umri wa miaka 25 alipokuwa mfalme"

alitawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu

miaka tisa katika Yerusalemu** - "alikuwa mfalme katika Yerusalemu kwa miaka 29"

Yehoyadani

hili ni jina la mwanamke

Alifanya yaliyo sahihi katika uso wa Yahwe, sio kama Daudi baba yake

Hapa "usoni mwa Yahwe" inaurejea uso wake, na uso wake unarejea hukumu yake. "Amazia alifanya mambo mengi yaliyompendeza Yahwe, lakini hakufanya mambo mengi ambayo yalimtukuza Yahwe kama mfalme Daudi aliyokuwa ameyafanya"

Alifanya kila kitu ambacho Yoashi, baba yake, alifanya

Yoashi alimtii Yahwe na kufanya mambo mazuri. "Alifanya baadhi ya mambo mazuri ambayo baba yake Yoashi aliyafanya"