sw_tn/2ki/12/19.md

21 lines
497 B
Markdown

# je hayakuandikwa kwenye kitabu cha matukio ya wafalme wa Yuda?
Hili swali linatumika kumkumbusha msomaji kwamba haya mambo yamerekodiwa. "yameandikwa katika kitabu cha historia ya Wafalme wa Yuda."
# Sila
Eneo la hii sehemu haijulikani.
# Yozakari ... Shimeathi ... Yehozabadi ... Shomeri ... Amazia
Haya ni majina ya wanaume.
# pamoja na baba zake
"katika jumba la kifalmeambapo baba zake walipokuwa wamezikwa (UDB)
# akawa mfalme katika mahali pake
"akawa mfalme wa Yuda aliyefuata"