forked from WA-Catalog/sw_tn
509 B
509 B
imepimwa
"imehesabiwa"
kwenye mikono ya watu
Hapa "mikono" inarejea kwa watu. "kwa watu"
waliokuwa wanatunza hekalu
"waliokuwa wanakarabati hekalu"
maseremala
watu wajengao na kukarabati vitu vilivyotengenezwa kwa mbao
waashi
watu wajengao kwa mawe
wakata mawe
watu wakatao mawe kwenye kipimo kimoja na umbo
kwa ajili ya kununua mbao na kukata mawe
"kununua mbao na kukata jiwe"
yote iliyokuwa inahitajika kulipwa kwa ajili ya kuitengeneza
"kulipa kwa ajili ya ukarabati wote"