sw_tn/2ki/12/11.md

33 lines
509 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# imepimwa
"imehesabiwa"
# kwenye mikono ya watu
Hapa "mikono" inarejea kwa watu. "kwa watu"
# waliokuwa wanatunza hekalu
"waliokuwa wanakarabati hekalu"
# maseremala
watu wajengao na kukarabati vitu vilivyotengenezwa kwa mbao
# waashi
watu wajengao kwa mawe
# wakata mawe
watu wakatao mawe kwenye kipimo kimoja na umbo
# kwa ajili ya kununua mbao na kukata mawe
"kununua mbao na kukata jiwe"
# yote iliyokuwa inahitajika kulipwa kwa ajili ya kuitengeneza
"kulipa kwa ajili ya ukarabati wote"