sw_tn/2ki/09/33.md

21 lines
633 B
Markdown

# Kumtupa chini
Yehu alimwambia towashi kumtupa Yezebeli nje ya dirisha.
# Hivyo wakamtupa Yezebeli chini
Matowashi wakamtupa Yezebeli nje ya dirisha la juu akafa wakati alipopiga chini.
# na Yehu akamseta chini ya miguu
Hii inamaanisha kwamba aliende farasi wake ambao walikuwa wakivuta gari lake kuseta mwili wake chini ya miguu yake"
# Mtazameni
Neno "mtazameni" maana yake kutoa umakini kwa yeyote aliyewekwa wazi. "Sasa nenda kwa"
# kwa kuwa ni binti wa mfalme
kwa kuwa Yezebeli alikuwa binti wa mfalme, ilikuwa lazima kumzika nabii wake. "kwa sababu alikuwa binti wa mfalme na kwa hiyo angezikwa inavyostahili" (UDB)