# Kumtupa chini Yehu alimwambia towashi kumtupa Yezebeli nje ya dirisha. # Hivyo wakamtupa Yezebeli chini Matowashi wakamtupa Yezebeli nje ya dirisha la juu akafa wakati alipopiga chini. # na Yehu akamseta chini ya miguu Hii inamaanisha kwamba aliende farasi wake ambao walikuwa wakivuta gari lake kuseta mwili wake chini ya miguu yake" # Mtazameni Neno "mtazameni" maana yake kutoa umakini kwa yeyote aliyewekwa wazi. "Sasa nenda kwa" # kwa kuwa ni binti wa mfalme kwa kuwa Yezebeli alikuwa binti wa mfalme, ilikuwa lazima kumzika nabii wake. "kwa sababu alikuwa binti wa mfalme na kwa hiyo angezikwa inavyostahili" (UDB)