sw_tn/2ki/08/01.md

21 lines
348 B
Markdown

# Sasa
Hili neno linatumika hapa kugawanya mwanzoni mwa hadithi. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya hadithi.
# yule mwanamke ambaye mwanaye alifufuliwa
Hadithi ya huyu mwanamke na mwanaye inapatikana kwenye 4:8.
# alifufuliwa
"alisababisha akafufuliwa tena"
# Inuka
"kuinika kutoka ulipo"
# mtu wa Mungu
"Elisha, mtu wa Mungu"