# Sasa Hili neno linatumika hapa kugawanya mwanzoni mwa hadithi. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya hadithi. # yule mwanamke ambaye mwanaye alifufuliwa Hadithi ya huyu mwanamke na mwanaye inapatikana kwenye 4:8. # alifufuliwa "alisababisha akafufuliwa tena" # Inuka "kuinika kutoka ulipo" # mtu wa Mungu "Elisha, mtu wa Mungu"