sw_tn/2co/12/03.md

25 lines
642 B
Markdown

# Habari za Jumla:
Paulo anazidi kujizungumzia yeye mwenyewe ingawa kama vile alikuwa anazungumzia mtu mwingine
# mtu huyu alichukuliwa juu hadi paradiso
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jini hii: Maana zinazowezekana: "Mungu tazama mtu huyu...katka paradiso" au "malaika alimchukua mtu huyu .
# alichukuliwa juu
ghafla na kwa kulazimishwa alifanyika na kuchukuliwa
# Paradiso
Maana zinazoezekana ni hizi" mbibuni au mbingu ya tatu au sehemu maalumu mbinguni.
# kwa niaba ya mtu kama huyo
"kwa niaba ya mtu huyo"
# sitajisifu, isipokuwa kuhusu udhaifu wangu
Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "Nitajivuna tu kwa udhaifu wangu"