sw_tn/2co/12/01.md

29 lines
849 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anatetea utume wake kutoka kwa Mungu, paulo anaendelea kusema wazi mambo yale yaliyompata tangu awe mwamini.
# Nitaendelea
"nitaendelea kuzungumza, hata sasa juu yake"
# maono na mafunuo kutoka kwa Bwana
Maana zaweza kuwa hizi" Paulo anatumia maneno "maono" na "mafunuo" kumaanisha kitu kile kile kimeunganishwa kwa maneno tofauti ili kutoa msisitizo.
# Namjua mtu mmoja katika Kristo
Paulo kwa hakika anajisema yeye mwenyewe kama vile alikuwa mtu mwingine, lakini hii ikiwezekana ni lazima itafsiriwe kama ilivyoandikwa.
# ikiwa katika mwili, au nje ya mwili, mimi sijui
Paulo anazidi kujieleza yeye mwenyewe kama ikiwa hii itatokea kwa mtummwingine.
# Mungu anajua
"ni Mungu pekee ajuaye"
# mbingu ya tatu
Hii inalelezea mahali anapokaa Mungu na siyo mbingu au nafasi wazi angani (sayari, nyota, na dunia)