sw_tn/2co/12/01.md

849 B

Sentensi Unganishi

Paulo anatetea utume wake kutoka kwa Mungu, paulo anaendelea kusema wazi mambo yale yaliyompata tangu awe mwamini.

Nitaendelea

"nitaendelea kuzungumza, hata sasa juu yake"

maono na mafunuo kutoka kwa Bwana

Maana zaweza kuwa hizi" Paulo anatumia maneno "maono" na "mafunuo" kumaanisha kitu kile kile kimeunganishwa kwa maneno tofauti ili kutoa msisitizo.

Namjua mtu mmoja katika Kristo

Paulo kwa hakika anajisema yeye mwenyewe kama vile alikuwa mtu mwingine, lakini hii ikiwezekana ni lazima itafsiriwe kama ilivyoandikwa.

ikiwa katika mwili, au nje ya mwili, mimi sijui

Paulo anazidi kujieleza yeye mwenyewe kama ikiwa hii itatokea kwa mtummwingine.

Mungu anajua

"ni Mungu pekee ajuaye"

mbingu ya tatu

Hii inalelezea mahali anapokaa Mungu na siyo mbingu au nafasi wazi angani (sayari, nyota, na dunia)